TANZANIA ISLAMIC FOUNDATION(T.I.F)

NIA NA MADHUMUNI NI KUJENGA UMOJA WA SISI WAISILAM.WAJIBU WETU NI KUKUMBUSHANA YOTE YALIO MEMA NA KUKATAZANA YOTE YALIO MABAYA,PIA TUWE NA MFUKO WETU AMBAO UTAWEZA KUSAIDIA JAMII PINDI ITAKAPOPATWA NA MAJANGA AMA MATATIZO PIA KUTUSAIDIA SISI WENYEWE KAMA MMOJA WETU ATAFIKWA NA MATATIZO AMA MAJANGA YAKIDUNIA.