TANZANIA TB JOSHUA FANS

GROUP HILI NI KWA AJILI YA WASHABIKI WA PROPHET TB JOSHUA, WISE MEN AND SCOAN MMINISTRY KWA UJUMLA, KAMA UNA MTU UNAMJUA YUKO UPANDE WETU MUWEKE HUMU, KAMA NIMEKUADD HUMU KIMAKOSA UNAONA HAPAKUFAI PLIZ TOKA KI-ROHO SAFI TU BILA KUPOST MANENO YA KASHFA MAANA WE ARE HERE TO SHARE MAMBO YA AJABU MUNGU ANAYOFANYA KUPITIA WATUMSHI WAKE HAWA............... MUNGU KWELI YUPO, NA MIFANO HAI NDIO KAMA HII.....

OOH NA PIA TUNAOMBA KAMA KUNA MWENYE TESTIMONY PLEASE NJOO UTUHADITHIE NA UBARIKIWE SANA''