LORD BADEN POWELL MUSLIM STUDENTS SOCIETY(LMSS)

MWALIKO
Asaalaam aaleykum!
Nyote mnaaalikwa katika semina kwa wanafunzi wa kiislamu wa ngazi za kuanzia sekondari mpaka vyuo vikuu itafanyika Jumapili ya kesho mnamo tarehe 28/12/2014. Mahali ni ukumbi wa shule ya UHURU MCHANGANYIKO iliyopo katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar-es-salaam.
MUDA: kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 6 mchana
MADA: 1- Maisha ya wanafunzi na ndoa: mtoa mada atakuwa ni Al akhy Khatibu imraan
2- Mafanikio baada ya kuhitimu masomo: mtoa mada atakuwa ni Ibrahim Kachema
Fursa ya maswali na majibu itakuwepo. Fika mapema ili upate faida zaidi. Wajulishe na wengine.
NYOTE MNAKARIBISHWA