CHADEMA MKOMBOZI WETU

Chadema Mkombozi wetu ni group la kisiasa lenye dhamira ya kuelimishana na kukumbushana wajibu wetu kisiasa wa kuhakikisha tuiondoa CCM madarakani.

Ni juhudi zetu kwa pamoja zitazosaidia harakati hizi. Tusaidie juhudi hizi kwa kila namna maana CCM haitaachia madaraka kirahisi.

Nawakaribisheni nyote.

By Juma Shabani