Wana Chunya - Mbeya .Tanzania (The Blessed Land)

WA MWISHO NDO MSHINDI
Habari wana FB, naomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi"......... Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.. MFANO: Ualimu tanzania ni kazi ngumu kiasi kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari madaktari wa tanzania wanahitaji kulipwa zaidi.................... (tuendelee kwa mtindo huo wana jf, wa mwisho ndo winner.. Karibuni sana)