VIJANA WAKATOLIKI TANZANIA

Group hii ni ya vijana wakatoliki tuu. Mtu anaweza kumualika mtu yeyote katika group kwa sifa ya kuwa mkatoliki. Mtu anaweza ku-post Habari au Taarifa ya kidini, Taarifa za Makongamano, Misa, Matukio mbalimbali ya Kikanisa, usi-copy link za habari za Kidunia, blogs, Labda kwa sababu maalumu na uwasiliane na utawala kabla ya kufanya hivyo. Matangazo ya Biashara Hayataruhusiwa, Ruksa kutuma taarifa za ajira, Kupost mada, Kuchangia mada, Kuomba ushauri, Maoni na Msaada wa kiimani, KUOMBA MCHANGO WOWOTE BINAFSI WA KIFEDHA TAFADHALI WASILIANA NA UONGOZI. Mwana Group unatakiwa kujiheshimu, Kuchangia michango itakayotangazwa na uongozi hasa ya Matendo ya Huruma na mingineyo itakayofafanuliwa na uongozi na Kuepuka mada za malumbano,
WAKATOLIKI TUNAZUNGUMZA LUGHA MOJA . TUWE NA LUGHA ZA KIISTAARABU, Lugha za matusi na zisizo na utii hazitaruhusiwa.
SISI NI TAIFA LA MUNGU NA UPENDO UTAWALE NDANI YETU.