Ligi Kuu Tanzania

Karibu katika Group Page ya Ligi Kuu, hii ni page maalum iliyofunguliwa na umoja wa vilabu vya ligi kuu Tanzania ambavyo vipo katika mchakato wa kuhakikisha tunakuwa na ligi kuu ya kulipwa msimu wa 2012/13

Wadau wa Soka la Bongo mnaruhusiwa kutoa mawazo yenu yatakayosaidia kuwa na ligi kuu yenye tija chini ya Mwamvuli wa kampuni itakayofunguliwa na Vilabu vya Ligi Kuu