Mamaz Tanzania

Mamaz Tanzania ni group ambayo itakuwa inazungumzia malezi ya watoto kuanzia day one mpaka 10 years. Members wa group ni wale tuu wenye watoto either ni single parent haijalishi. Group litapeana ushauri mbalimbali kama vile sehemu nzuri za kupeleka watoto kucheza weekends ,kumwandaa mtoto kisaikolojia pale unapotarajia kupata mdogo wake, kupeana ideas za day care nzuri kwa wale waliofikisha umri wa kwenda day care, kuwakutanisha watoto wetu, na mengineyo mengi. kusaidiana wakati wa raha au matatizo kwa watoto wetu hususani maswala ya kupeana mahouse girl. MT karibuni sana