STAMFORD BRIDGE FANS V/S ALL EPL FANS

STANFORD BRIDGE FANS VS ALL EPL FANS: NI GROUP LA MASHABIKI WA SOKA WA TEAM ZOTE ZA E.P.L. LENGO LA GROUP NI KUBADILISHANA MAWAZO YA KISOKA, KUPAMBANA KWA HOJA MASHABIKI WA CHELSEA NA MASHABIKI WA TEAM NYNGINE ZA EPL, PAMOJA NA KUSAIDIANA KATIKA MAMBO YA KIJAMII. GROUP LETU LITATUMIA LUGHA 2 KISWAHILI PAMOJA NA KINGEREZA HVYO BASI MASHABIKI WA KIGENI NJE YA TANZANIA PAMOJA NA AFRIKA MASHARIKI WANARUHUSIWA KUJIUNGA KATIKA GROUP:GROUP LETU LINASHERIA ILI KUONGOZA MAMBO YAENDE KWENYE MSTARI:#SHERIA 1. Matusi Yeyote Ya Kudhalilisha Team Flani Au Jinsia Flani Hayaruhusiwi.2. Mambo Ya Kisiasa Hatuhitaji Hususan Vyama Vya Siasa 3. Matangazo Hayahitajiki Humu. 4. Kwenenda Kinyume Na Matakwa Ya Serikali Au Kuvunja Mipaka Iliyowekwa Na Serikali Hautavumiliwa 5. Ku Post Picha Za Ngono.6. Ku Comment Nje Ya Mada Kwenye Post Ya Soccer Nje Ya Mada Inajumuisha Maneno Kama, Pc,pamoja,one Love,mia.7.ni marafuku kwa member wa group hili kufanya screen shot post humu ndani na kupeleka sehemu nyingine kwa lengo la kumdhalilisha member mwenzio au kwa kwa kufanya mzaha..Marekebisho Ya Sheria Yanawezwa Kufanywa Na Ma-admins: ENDAPO UTAENENDA KINYUME NA SHERIA HIZI UTAONDOLEWA MARA MOJA.BY UTAWALA.