Vijana Rika (RED CROSS TANZANIA)

Kundi hili ni kwaajili ya Vijana kupeana elimu rika na kubadilishana mawazo kuhusu maisha (LIMEANDALIWA NA CHAMA CHA MSALABA MWEKUNDU TANZANIA) Lugha chafu hairuhusiwi