BBC/SWAHILI-TANZANIA

Kikwete amfukuza kazi Tibaijuka.
Katika hali iliyotarajiwana wengi aliyekua waziri wa ardhi nyumba na makazi chuni Tanzania Anna Tibaijuka ameondolowewa katika wadhifa wake huo baada ya kuhusishwa katika sakata la ESCROW.Hii imekuja siku chache baada ya Tibaijuka kusema kuwa rais Kikwete hawezi kumuwajibisha.Baada ya uamuzi huo zilisikika sauti na kelele za watu kumpongeza rais kwa hatua hiyo.