SOTOJO KUNDUCHI JORGING

Sotojo ni kundi la vijana wenye shughuli tofauti za kujenga Taifa waliokusanyika pamoja na kuunda kundi ili LA KUFANYA MAZOEZI YA KUKIMBIA KILA JUMA MOSI NA JUMA PILI kwa ajili ya kubadilishana Mawazo,kufanya kazi za ujenzi wa Taifa kwa umoja Wao kama Kusaidia kutoa ELIMU RIKA kuhusu mambo ya KUJIFAHAMU WEWE KIJAN,NINI UFANYE,WAPI TWENDE KUPATA MISAADA YA USHAURI,TUUNGANE KWA AJILI YA UJENZI WA TAIFA,VIPI TUJIKWAMUE KUTOKA KWENYE UMASKINI. Na pia SOTOJO IMEJITWIKA katika FANI mbalimbali kama UPIGAJI NGOMA ZA ASILI,MPIRA WA MIGUU[TIMU YA SOTOJO],UIMBAJI WA AINA ZOTE,UCHORAJI,WANARIADHA,WACHEZAJI DANSI,WAIGIZAJI NA WATUNGAJI WA MAIGIZO na mengineyo mengi yanapatikana katika kundi ili la vijan wa SOTOJO KUNDUCHI JORGING.''''TUUNGANE KATIKA KULIJENGA TAIFA LA TANZANIA'' NCHI YENYE AMANI'' MUNGU TUBARIKI TANZANIA NA MUNGU AIBARIKI SOTOJO.