CCM vs CHADEMA MANYARA 2015

Hili ni jukwaa maalum kwa wanasiasa wote waliotangaza nia hadharani na kimya kimya. Ni jukwaa la wao kuja kutangaza nia hapa pamoja na sera zao ili sisi wapiga kura wa mkoa wa Manyara tuzipime na kufanya maamuzi sahihi.
kwa hiyo, wagombea wa nafasi za serikali ya kijijij, udiwani na Ubunge wa vyama vyote kwa 2015 hili ni jukwaa lenu. Karibu sana.