CHADEMA AMBASSADORS Vs TANZANIA COMMUNITY

WITO MAALUMU KWA WASHIRIKI WOTE WA KUNDI HILI

Ndugu Waheshimiwa washiriki wa kundi hili tukufu, mnaombwa kuzingatia yafuatayo:

1. Kuongeza washiriki ili tuweze kufikia Watz wengi ili tuweze kuhabarishana habari mbali mbali za kisiasa. Sasa tuko 1430 tu lengo tufike 300,000 members na kuendelea.
2. Kuepuka kuandika mambo ya udaku, yasiyo ya ukweli, na ushahidi wa kuzushia mtu au taasisi yoyote.
3. Administrators wataongezeka hadi wawe wa3 watawekwa wazi hapa nao watatoa fursa kwa washiriki kuwawajibisha kupitia Admins wengine ili haki itendeke iwapo wakakiuka maadili ya umma.
4. Hoja ziwe na maslahi ya Kitaifa.
5. Tuwe wavamilivu tunapopewa changamoto za kisiasa.

ASANTENI SANA.