TRIBALISM AND SELF RELIANCE

"Mapenzi ni kama bigijii"
Huu ndio msemo wa vijana wengi sasahivi.. Kwa7bu ukiila huisha utamu na kuitupa. Swali ni: je babu & bibi zetu waliwezaje kuishi pa1 na kustahimiliana mpaka wakazeeka?
2=kipi kifanyike nasisi tufike huko, & upo umuhimu wakuchaguliwa wachumba kama zamani? YANGU NI HAYO, MCHANGO WENU NAUHITAJI...
(nice day fans)