CHADEMA 2015 VS CCM 2015

Tujadiliane kwa Hoja si Vioja.

Matusi na picha za Uchi na picha za ngono haziruhusiwi.

Tangazo lolote lisilo la kisiasa haliruhusiwi ni pamoja na matangazo ya biashara, kazi na mengine ya ngono.
Ngono zenu mpeleke kwenye magroup ya ngono.

KWA ATAKAYEKWENDA KINYUME NA SHERIA YA GROUP ATACHUKULIWA HATUA KALI ZA KINIDHAMU.

Usikubali kuendeshwa na hisia zi control hisia zako.