KANISA LA MORAVIAN TANZANIA NA MAENDELEO KATIKA MAJIMBO YETU.

Kusudi la Jukwaa hili ni kujifunza, Kuelimishana, Kubadilishana na Kupata taarifa za Maendeleo ya Majimbo mengine, itusaidie Wamoravian wote kutafuta njia mbadala ya kujipatia Mapato na kutoka katika hali tegemezi ( Kutegemea Sadaka kutoka kwa Waumini tu ). Tujiepushe na ushindani usio na TIJA.