AJIRA-EMPLOYMENT TANZANIA

Tumejitolea kukujulisha nafasi mbalimbali za Ajira zinazotolewa hapa nchini. Lengo letu ni kuleta fursa kwa vijana wote, Jukumu lako wewe ni kumu-add kijana mwenzio ili vijana sote kwa pamoja tuweze kufikiwa na fursa hizi. KARIBUNI SANA