NJOO TUJADILIANE KUHUSU SOKA (KANDANDA)

Dahh huwa nashangaa sana unamkuta mtu fb eti namchukia messi or namchukia ronaldo huwezi kumchukia mtu ambaye hujawahi ata kumuona hakujuw wala hana asa nia au shida labda ya kutaka kukujuwa tuwe na akili jamni 2cwe mazungu kuku
by ‪#‎de_draxlerz‬