Kanisa la Moravian Tanzania- Mtazamo Mpya

Ukurasa huu ni mahsusi Kwa ajili ya Wamoravian tu Kujadiliana na Kupeana taarifa zinazo husu Kanisa la Moravian na Imani yetu ya Kikristo na pia kujengana Kiimani kupitia Mafundisho, Shuhuda na taarifa mbalimbali zinazohusu ukristo wetu. Mmoravian yoyote anakaribishwa kujiunga na kuchangia. Lengo kubwa ni kujenga kanisa letu na maisha yetu ya kiroho.