JESHI LA POLICE TANZANIA

HAPA POST ZOTE ZITAHUSU MAMBO YA KIJESHI TU NA SI VINGINEVYO. Dhumuni la kundi hili ni kutengeneza mtandao wa mawasiliano mepesi kwa Jeshi la Polisi Tanzania nzima, kusaidiana kero mbalimbali zinazotokana na utendaji kazi wetu wa kila siku, kuelimishana, kufahamiana, kupashana habari zinazohusiana na Jeshi letu na hata ikibidi zinazohusu Taifa letu (sensitive information), kundi hili linakua jamvi la kuweza kubadilishana mawazo yenye tija kwa ajili ya kutujenga kifikra na mwenendo mzima wa utendaji kazi.