NAFASI ZOTE ZA AJIRA TANZANIA

Julishwa nafasi za kazi mpya kila siku nda ya group hii. Zinakujia hivi karibuni. Kwa moyo mmoja wa upendo tunaweza. Mpende mwenzako mu-add katika group hii apate taarifa, nafasi yoyote ya kazi isipokufaa wewe itamfaa mwingine anaweza kuwa rafiki yako au ndugu yako.