kenyans in The Netherlands

Kundi hili liko wazi kwa mkenya yeyote ambaye anaishi Uholanzi kwa mda mrefu au mfupi.Habari zozote,mawazo yetu,maoni yetu,matumaini yetu,mawaidha yetu,maombi yetu,mahitaji yetu na kadhalika,yote yakubaliwa hapa.Hapa utawapata wenzako kutoka pande zote za nchi hii na pembe zote za Kenya.kupitia kuwasiliana utaongeza idadi ya marafiki wako na labda utaepuka upweke.KARIBUNI WOTE.