Malindi Kenya

Those who live in Malindi Kenya or at one time lived there, or planning to visit/live there; it is your opportunity!

SHERIA NA KANUNI ZA GROUP {MALINDI KENYA}.
1. HILI GROUP NI KWA AJILI YA STORY ZA MALINDI
TU.
2. HATURUHUSU MATANGAZO YA AINA YOYOTE YA
BLOG, PIA PICHA ZOZOTE MBAYA MBAYA ZINAZO
DHARIRISHA JINSIA FULANI PASIPO SABABU YA
MSINGI.
3. LUGHA CHAFU (KUTUKANA WATU) NA
KUMDHARAU MWENZAKO HAITAKIWI. YEYOTE
ATAKAYEKUTWA NA KOSA HILI ATATOLEWA NA
ADMIN
4. HAUJALAZIMISHWA KU COMMENT, KAMA STATUS
UNAONA HAINA UMUHIMU ACHANA NAYO KULIKO
KUTUKANA WATU.
5. KAMA UNAONA HAPAKUFAI HUMU NDANI, BORA
UTOKE NA KAMA UNASHINDWA, SEMA UPEWE
MSAADA.
6. KAMA UNA TATIZO NA MTU, MFUATE INBOX
KULIKO KUTUCHAFULIA GROUP LETU PENDWA.
7.NA KAMA MTU ANATAKA USHAURI NI BORA UMPE
KULIKO KUMKEJELI NA KUMTUKANA,KAMA HUTAKI
KUMSHAURI KAUSHA, KULIKO KUTUKANA

NB: HATUA KALI ZITACHUKULIWA ENDAPO UTAKIUKA
HAYO IKIWA NI PAMOJA NA KUONDOLEWA KWENYE
GROUP. BY UTAWALA. (ADMIN)